Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Zainabu Chakula ameutaka Uongozi wa Bodi ya Magavana wav Taasisi ya Ustawi wa Jamii kufanya kazi Kwa Uweredi,Uamifu na Ubunifu.
Pia amewataka kuandaa wahitimu vizuri ili wakimaliza waweze kuajiliwa na kujiajili pamoja na kwenda kutatuwa matatizo yaliyopo kwenye Jamii Lengo watu waache kujinyonga,kunywa simu na kufanya vitendo vya ukatili WA kijinsia amesema haya Wakati wa Uzinduzi wa Bodi ya Magavana kwenye Taasisi ya Ustawi wa Jamii Kijitonyama jijinidsm.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment