Dr Philip Mpango Makamu wa Rais Tanzania ameitaka NIMR Kuongeza Kasi kwenye Tafiti wanazozifanya lengo kukabiliana na milipuko ya magonjwa Kwa wakati na ameiagiza NIMR wawe na chanjo zenye kudhibiti magonjwa, pia ameiagiza Tafiti za Dawa za Tiba asili ziwe za kukamilika Kwa wakati na haraka na Matokeo yaonekane lengo tuwe na Dawa za asili Kwa wingi nchini tanzania.
Makamu wa Rais amesema serikali imejipanga kujenga vituko vya Afya kila Kona ya tanzania kwaajili ya kunusulu vifo Ndio maana imetenga fedha za kutosha kwaajili ya Tafiti mbalimbali.
Philip Mpango ameipongeza NIMR Kwa Kongamano la 31 la Kisayansi kwani litaibwa mambo mengi ambayo yataleta tija na faida Kwa nchi Yetu ya tanzania.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment