Afisa Msaidizi wa Mladi wa sema na Rais Mwinyi amesema lengo la kuja na mradi huu kutoka ofisi ya Rais Mwinyi ni kukusanya kelo na maoni zinazowakabili wananchi wa Zanzibar na Tanzania Bara, wanatoa eleimu kupitia TV, Redio na Njia Zinginezo. Asema haya kwenye maonesho ya 47 ya SABASABA Jijini Dar es Salaam.
Habari Picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment