Sara Kijacho ni Kampuni ya Kitanzania ambayo inatengeza bidha za vipodozi ambako kampuni hii imepata mafunzo kupitia SIDO na kutafutiwa masoko ya kitaifa na Kimataifa.
Asema haya kwenye maonesho ya 47 ya Sabasaba
Jijini Dar es Salaam.
Habari Picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment