Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya halotel LE VAN DAI amesema kuanzia sasa wameanza kutekeleza agizo la rais MAGUFULI kwa simu za mkononi kutumia mashine za kielectroniki kuanzia sasa kwenye huduma zao kwani itasaidia kuwepo uwazi kwa kodi wanazolipa TRA pia mkurugenzi mtendaji wa halotel amefurahia mafanikio waliopata la ongezeko la wateja73,872 taarifa hii wametaka kutoka mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA pia wametenga kiasi cha bilioni 200 kwaajili ya kuboresha miundombinu ya mtandao wa halotel na kuongeza kasi ya intaneti na kuwafikia watu mijini na vijijini kwa uraisi amezungumza haya kwenye makao makuu ya halotel jijini dar e salaam
habari picha na ALLY THABITI
Wednesday, 7 June 2017
Sunday, 4 June 2017
TIMU YA AZAM YAKANUSHA KUWA HAKUNA BIFU KATI YA ABDUL MOHAMED NA SADI KAWEMBA
Afisa habari wa timu ya Azam amesema hakuna bifu kat ya Abdul Mohamed na aliyekuwa mtendaji mkuu wa tmu ya Azam Sadi Kawemba, pia Jafari Iddi Maganga Afisa habari wa tiimu ya Azam amesema mwaka huu hawatatumia fedha nyngi kwenye usajili badala yake watawatumia wachezaji wenye umri wa mia 17 na 20 na kuwapeleka kwenye timu kubwa.
habari picha na ALLY THABITI
MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AKABIDHI MWENGE.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo amekabidhi Mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiambatana na mkmbiza mwenge kitaifa AMOUR AMADI AMOUR ambako Ubungo amezindua miradi mitano yenye thamani ya Bilioni 2.8.
Habari picha na ALLY THABITI
Habari picha na ALLY THABITI
CHAMA CHA MAALBINO CHAWATAKA WATANZANIA WAJITKEZE KWENYE MAAZIMISHO YAO.
Chama cha maalbino tarehe 13 mwezi wa 6 ni siku ambayo wataazimisha siku ya watu wenye ualbino duniani,ambako mgeni rasmi atakuwa waziri mkuu mheshimiwa KASSIM MAJALIWA. Kauli mbiu ni Tafiti na takwimu ni muhimu kwa ustawi wa watu wenye ualbino, haya amezungumza ABILAHI OMARI ambaye ni mweka hazina wa chama cha watu wenye ualbino Tanzania.
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TIB BANK YAJA NA MIKAKATI MIZITO
Mkurugenzi wa benki ya TIB aja na mikakati mizito ya kukusanya kodi kwenye bandari zote nchini Tanzania, ambako amesema watafungua matawi kwenye bandari ya Tanga, Mtwara, Bagamoyo na nje ya nchi. lengo ni kukusanya kodi kwa masaa ishirini na nne.
habari picha na ALLY THABITI.
habari picha na ALLY THABITI.
SIMU ZA ITEL S31 NI SIMU ZENYE KIWANGO CHA JUU
afisa mawasiliano wa kampuni ya itel amewataka watanzania wanunue simu za itel S31 kwani ni imara, zinatunza chaji na zinapiga picha vizuri pia amewataka watanzania wamuunge mkono balozi wa itel Irene Uwoya
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
IRENE UWOYA APATA ULAJI ITEL
msanii nguli wa maigizo amepata nafasi ya kuwa balozi kwenye kampuni ya simu ya itel, atakuwa balozi wa kutoa ujumbe kwa jamii kupitia simu ya itel kwenye kampuni hiyo kwa muda wa mwaka mmoja.
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)




