Tuesday, 23 April 2019
HLRC YAVUNA MAPESA
Pichani Balozi wa Nolwe Elizabeth Jacobsen akitiliana saini na mkurugezi wa kituo cha haki za binadamu HLRC Anna Enga kwaajili ya kutoa msaada wa fedha Dola za kimarekani Bilioni Mbili Nukta Mbili kwa ajili ya utetezi wa hazi za binadamu nchini Tanzania.
Habari Picha na
Ally Thabiti
Thursday, 11 April 2019
MUFTI MKUU WA TANZANIA ATEMA CHECHE
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amezitaka taasisi za kidini za Kiislamu hapa nchini wawape walimu wao maslayi mazuri ya Kifedha na mahali pa kuishi. Pia amewataka wanafunzi waliohitimu mafunzo ya kidini wawemabarozi wema pia amesema ameipongeza taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa juhudi na bidii kwa kutoa elimu ya kidini hapa nchini amemalizia kwa kusema pia wataendelea kushilikiana na taasisi zote hapa nchini.
Ametoa pwito kuhubili amani na kumpongeza Sheikhe Nurudin Kishki kukuza na kueneza Uislamu.
Habari Picha na
Ally Thabiti
PICHANI MUFTI MKUU WA TANZANIA HAKITOA ZAWADI
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi akiwapa tuzo wanafunzi wa Al-Hikma Foundation.
Habari Picha na
Ally Thabiti
SHEIKHE KISHKI ATOA NENO LA FARAJA
Kiongozi wa Taasisi ya Al- Hikma Foundation Nurudin Kishki amesema wana mipango ya kuleta Quruan yenye maandishi ya nukta nundu kwaajili ya kuwafundisha watu wenyechangamoto ya kutokuona pia Kishki nje nyingi alizozunguka za Kialabu wanafunzi wasiona wanatumia kusoma Quruan kwa kutumia maandishi ya nukta nundu ndiyo maana wao wameamua kutatua changamoto hii kwa kuleta nukta nundu lengo wawafikie wasiona kwa kiasi kikubwa ametoa wito kwa taasisi zingine za dini ya Kiislamu katika kuwapokea na kuwafundisha watu wasiona maswala ya kidini.
Amesema haya Hoteli ya Kilimanjaro wakati wa kuwapa tuzo wanafunzi kumi na mbili wa Al-Hikma Foundation.
Habari Picha na
Ally Thabiti.
MWENYEKITI WA HAZBATI HATOA NENO ZITO
Mwenyekiti wa chama cha HAZBATI amewataka wazazi wawatoto wenyevichwa Viikubwa na Mgongo wazi wachane na zana potofu hivyo na kuwataka watumie madini joto kwenye vyakula vyao wakati wakiwa na ujauzito na wakati wa kujifungua.
Pia wawape watotot vyakula vyenye lishe.
Habari Picha na
ALLY THABITI
TAKUKURU WILAYA YA TEMEKE YAWAFUTA CHOZI WANYONGE
Naibu kamishna wa Takukuru wilaya ya Temeke Ramadhani Mbwata amesema kiasi cha shilingi Bilioni moja na Milioni Miambili Harobaini na Moja za ujenzi wa shule za sekondari ya mbagala kuu ya kidato cha tano na cha sita pia wameokoa kiasi cha shilingi Milioni Mianne za ujenzi wa Zahanati ya eneo la kimbiji na huduma za kiafya zinatolewa mpaka sasa na kwa upande mwengine wamezibiti makato ya mechi za simba na FC VITA pamoja na timu ya Taifa na Uganda.
Pia ametoa wito kwa watanzania kutoa taarifa na kushilikiana nao kiukamilifu
Habari Picha na
ALLY THABITI
CHAMA CHA HASBATI CHALETA MATUMAINI
Mratibu wa chama cha watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi Hidaya Harawi wanatoa mafunzo mbalimbali lengo kuhamasisha wazazi wenye watoto wenyevichwa vikubw na mgongo wazi wawapeleke mahospitalini
Habari Picha na
ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)

