Tuesday, 4 February 2020

OSPITALI YA AGA KHAN YACHOCHEA WATU

Dokta Serestini amesema wameamuwa kuamasisha watu kuchangia damu Kwa wingi Lengo wagonjwa wa sarata waweze kutumia kwaajili ya kuokoa Manisha Yao kwani wagonjwa wa saratani wanaitaji damu Kwa wingi ivyo ametoa wito Kwa watu kujitokeza Kwa wingi katika kuchangia damu mara Kwa mara ivyo amesema ospitali ya Aga Khan itaendelea kutoa elimu juu ya ugonjwa wa saratani

Habari picha na Ally Thabiti

OSPITALI YA AGA KHAN KUNUSULU VIFO

Anjera Marjani ameupongeza uongozi wa ospitali ya Aga Khan kwakutoa elimu ya ugonjwa wa saratani jinsi ya kujilinda na kutambuwa dalili zake  hii itasaidia watu kujilinda na kutambuwa  dalili zake na kwenda ospitali Kwa matibabu amesema aya siku ya ugonjwa wa saratani ambako imeambatana na watu kuchangia damu

Habari picha na Ally Thabiti

Monday, 3 February 2020

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA T.I.A ABAINISHA MAMBO MAZITO


Makamu mkuu wa chuo chaTIA upande wa taaluma,utafiti na ushauri dokta Kasambara Omore amesema wameamuwa kutoa semina Kwa wajasilia Mali wadogo wakiwemo mamarishe waendesha bodaboda na wengineo Lengo nikuwajengea uwezo katika kuendesha biashara zao amesema semina izi wataendelea kutoa kwenye mikoa mbalimbali pia ametoa mada juu ya mikopo Kwa wajasilia Mali . Nae mratibu wa semina hii Asenari amesema huu mpango utakuwa endelevu na amewataka watanzania kuwaunga mkono Kwa kuudhuria semina za TIA ametoa wito Kwa watanzania kujiunga na kuwapeleka watoto wao chuo cha TIA Kwa ngazi ya Cheti diploma na elimu ya juu

Habari picha na Ally Thabiti

TAASISI YA UWASIBU (TIA) YATEKELEZA KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI

Martini Firbeti Josefu amesema kitendo cha taasisi ya uwasibu ya Tanzania (TIA) Kwa kuwapa elimu na mafunzo wajasilia Mali wadogo wadogo bilagharama wamewainuwa kiuchumi na  kufanya biashara kisasa Martini amesema elimu alioipata ikiwemo ubunifu wa biashara,namna yakuweka hakiba na swala la mikopo ivyo ataenda kutoa elimu hii kwa watu wengine amewapongeza wakufunzi pamoja na uongozi wa TIA Kwa mafunzo ametoa wito Kwa taasisi ya uwasibu TIA waendelee kutoa semina hizi nchi nzima iviwanavyofanya wanasaidia kufika azima ya rais Magufuli kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati

Habari picha na Ally Thabiti

T.I.A YAWAFUTA CHOZI WANYONGE

Mbaga mshiriki wa wa semina ambayo imetolewa na taasisi ya uwasibu Tanzania  (TIA) anaupongeza uongozi wa chuo cha uwasibu Kwa kutoa semina ya siku mbili ambako inajumuisha wajasilia Mali wadogo wadogo zaidi ya 200 ikiwemo mamarishe,delevabodaboda,waendesha bajaji,watembeza vyombo na wengineo Mbaga amewataka vijana wa kitanzania kutokukata tamaa ametoa wito Kwa TIA waendelee kutoa semina izi mala kwa mala

Habari picha na Ally Thabiti

Saturday, 1 February 2020

TAULA YAJIVUNIA MAMBO MAZITO

Katika kuazimisha miaka 30 tangu kuanzishwa Chama cha mawakiri wanawake (TAULA)  wamepata mafanikio ikiwemo kushirikiana na serikali wameweza kubadilisha Sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya wanawake kumiliki ardhi wameweza kutoa elimu Kwa jamii ka
tika kutambua haki zao kutetea haki za wanawake waliokumbwa na ukatili wa kijinsia

Rightness Rimos ni wakiri wa TAULA Chama cha mawakiri wanawake kinajivunia kwakupeleka idadi ya mawakiri wanawake kuongezeka ukilinganisha na mwaka 1990 TAULA ilipoanzishwa ambako mawakiri wanawake walikuwa wachache ambako Chama hiki kinapatikana Dar es salaam,Arusha, Tanga,Mwanza na Dodoma

Nawanampango wa wa kufunguwa Tawi jingine Mbeya na kwamwaka wanatoa msaada wa kisheria Kwa watu laki moja katika ofisi zote tano  maswala ya ndoa ,mirathi na kesi za watoto ni malalamiko ambayo yanajitokeza Kwa wingi na izo ndio  changamoto TAULA wanazokutana nazo kukosekana ushaidi Kwa vielelezo Mira na destuli zinaminya haki za raia kwenye mirathi amewataka watanzania kutembelea Banda la TAULA kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bule kuanzia tarehe1mwezi wa pili2020 Hadi tarehe6 ya mwezi wa pili 2020 amesema Aya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

Habari picha na Ally Thabiti

CHAMA CHA MAWAKIRI CHAWATOA OFU WATANZANIA

Mwenyekiti wa Chama cha mawakiri mkoa wa dar es salaam (TLS) Imanueli Muga amewataka watanzania kuwatumia mawakiri kwenye kesi zao ili waweze kujuwa kanuni,Sheria na taratibu pia amewatoa ofu Kwa kuwaambia kuwa mawakiri awana gharama ametoa wito Kwa mawakiri kutoweka pesa nyingi kwa wateja wao

Habari picha na Ally Thabiti