Katika kuazimisha miaka 30 tangu kuanzishwa Chama cha mawakiri wanawake (TAULA) wamepata mafanikio ikiwemo kushirikiana na serikali wameweza kubadilisha Sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya wanawake kumiliki ardhi wameweza kutoa elimu Kwa jamii ka
tika kutambua haki zao kutetea haki za wanawake waliokumbwa na ukatili wa kijinsia
Rightness Rimos ni wakiri wa TAULA Chama cha mawakiri wanawake kinajivunia kwakupeleka idadi ya mawakiri wanawake kuongezeka ukilinganisha na mwaka 1990 TAULA ilipoanzishwa ambako mawakiri wanawake walikuwa wachache ambako Chama hiki kinapatikana Dar es salaam,Arusha, Tanga,Mwanza na Dodoma
Nawanampango wa wa kufunguwa Tawi jingine Mbeya na kwamwaka wanatoa msaada wa kisheria Kwa watu laki moja katika ofisi zote tano maswala ya ndoa ,mirathi na kesi za watoto ni malalamiko ambayo yanajitokeza Kwa wingi na izo ndio changamoto TAULA wanazokutana nazo kukosekana ushaidi Kwa vielelezo Mira na destuli zinaminya haki za raia kwenye mirathi amewataka watanzania kutembelea Banda la TAULA kwaajili ya kupata msaada wa kisheria bule kuanzia tarehe1mwezi wa pili2020 Hadi tarehe6 ya mwezi wa pili 2020 amesema Aya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment