Tuesday, 25 February 2020

POHO MAKONDA AWACHIMBA MKWARA WANA SIASA

Mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam Paulo Makonda amewaonya Wana Siasa wa
vyama vya upinzani katika kuelekea uchaguzi mkuu ni marufuku kufanya kampeni za kuatalisha  Amani uku akiwataka kujenga Oja za msingi uku akiwataka viongozi wa halmashauri za jiji la dar es salaam kufanya kazi Kwa ushirikiano na atakae bainika kuwa mzigo ataondolewa uku hakiaidi kutatua changamoto za uchache wa watumishi wa rishe pia ameitaka halmashauri ya Ilala kuwachukulia atua watumishi walioikosesha  Ilala fedha za maegesho ya magari kiasi cha bilioni 4 za makusanyo ya maegesho ya magari amesema Aya jijini Dar es salaam ukumbi wa Anatogo uliopo mnazi mmoja


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment