Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira dokta Gwamwaka Mafongwa amesema katika kukabiliana na uchafuzi wa Mazingira Baraza la Mazingira limeweza kutoa elimu Kwa wananchi katika matumizi ya Mifuko mbadala Kwa kuwaimiza wananchi watoe taarifa pindi wanapobaini uingizaji au usambazwaji na utengenezwaji wa Mifuko iliopigwa malufuku na serikali Pia Baraza la Mazingira limeweza kuwachukulia atua watu waliokumbwa na Mifuko ya plastiki mpaka sasa jumla ya viwanda vya utengenezaji Mifuko mbadala 72 vimetengenezwa Tanzania bara uku Ajila 2761 zimepatikana Kwa watanzania Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira amesema uchache wa watumishi jamii kutotoa ushirikiano na viongozi wa serikali za mitaa izi ni changamoto ambazo zipo kwenye Baraza la Mazingira
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment