Monday, 24 February 2020

NAIBU WAZIRI AMPONGEZA DUMA

Naibu waziri wa wizara ya habari ,Sanaa,michezo na utamaduni Juliana Shonza amempongeza msanii wa bongo Muvi Kwa kuweza kuanzisha DUMA TV na kufungua Ofisi Kwa ajili ya kutengeneza kazi za bongo Muvi Naibu waziri amewataka wasanii wa bongo Muvi kutengeneza kazi zao Kwa DUMA kwani Studio yake ni ya kisasa na ina vifaa vyenye ubora uku akitoa wito Kwa Wana habari kufuata kanuni,Sheria na taratibu za uandishi pia akiwataka Wana habari kwenda kusoma Kwa ngazi ya diploma na zaidi kwani ifikapo mwaka 2021 hatuwa Kali zitachukuliwa  dhidi yao

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment