Tuesday, 4 February 2020

JAMII YAASWA KUCHANGIA DAMU

Ayubu ambaye amejitokeza katika zoezi la kuchangia damu kwenye ospitali ya Aga Khan amewataka wanzania na ambao sio watanzania wawe na moyo wa  kuchangia damu kwaajili ya kunusulu na kuokoa Maisha ya wagonjwa wa saratani amesema aya siku ya maazimisho ya ugonjwa wa saratani duniani  ambako uazimishwa Kila ifikapo tarehe 4 mwezi wa pili Kila mwaka ametoa wito Kwa ospitali ya Aga Khan wasichoke kuamasisha watu kuchangia damu

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment