Mkurugenzi mkuu wa shirika la RELI Tanzania (TRC) muhandisi Masanja Kungu Kadogosa amesema mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimearibu miundombinu ya shirika la Reli ikiwemo kusombwa na maji Kwa mataluma ya Reli mkoani Morogoro kusombwa Kwa makaravati na kusombwa Kwa kokoto kwenye njia ya Reli amesema imepelekea kuaitiswa Kwa safari za Treni kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma na kutoa Dodoma kuja Dar es salaam jitiada walizofanya kuwasafirisha abiria kwanjia ya mabasi,kuamisha Reli na kurudisha kokoto kwenye njia za Reli shirika la Reli limewatoa ofu watanzania kuwa safari za shirika la Reli zinaendelea Kwenye mikoa mingine
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment