Thursday, 20 February 2020

TBS YAWATOA OFU WATENGENEZAJI MIFUKO MBADALA

Kaimu mkurugenzi wa TBS Jabari Swalehe amesema Lengo la shirika la viwango tanzania nikuwatengenezea Mazingira rafiki wafanya biashara waweze kutengeneza bidhaa zenye ubora ambazo zinaweza kuuzika nchini na nje ya nchi Jabri Swalehe amesema watu waondoe dhana yakuamini kuwa TBS inazuia biashara za watu si kweli amewataka wanaotengeneza Mifuko mbadala wafike TBS ili waweze ubora wa viwango vinavyotakiwa

Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment