Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Jemsi Mbatia amesema wameazimia maazimio Sita baada ya kumalizika mkutano wa halmashauri kuu nivyema kuanzishwa mjadala wa kupatikana Katiba mpya kwaajili ya maslai ya nchi ya Tanzania uku wakiadhimia kuwepo na ushirikiano wa chama cha NCCR Mageuzi na vyama vinginevyo kwamujibu wa Sheria,kanunua na taratibu za vyama vya Siasa na Katiba ya Tanzania pia NCCR Mageuzi itatoa elimu na kuamasisha jamii kupigania Kura kwenye uchaguzi mkuu uku Jamaica Mbatia akiimiza kuwepo Kwa maridhiano ya kitaifa kwaajili ya kudumisha Amani,umoja na Usalama wa Tanzania uku akitoa Rai Kwa viongozi wa vyama vya Siasa na wanachama kuchunga ndimi zao katika kuelekea uchaguzi mkuu Lengo kulinda na kudumisha Amani iliyopo Tanzania
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment