Martini Firbeti Josefu amesema kitendo cha taasisi ya uwasibu ya Tanzania (TIA) Kwa kuwapa elimu na mafunzo wajasilia Mali wadogo wadogo bilagharama wamewainuwa kiuchumi na kufanya biashara kisasa Martini amesema elimu alioipata ikiwemo ubunifu wa biashara,namna yakuweka hakiba na swala la mikopo ivyo ataenda kutoa elimu hii kwa watu wengine amewapongeza wakufunzi pamoja na uongozi wa TIA Kwa mafunzo ametoa wito Kwa taasisi ya uwasibu TIA waendelee kutoa semina hizi nchi nzima iviwanavyofanya wanasaidia kufika azima ya rais Magufuli kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment