Mwenyekiti wa Chama cha CUF amesema kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 utakao fanyika mwezi wa Kumi Chama cha CUF akitosusia uchaguzi wataweka wagombea nafasi za Udiwani Ubunge na Urais ivyo amewataka wanachama wa CUF wenye sifa wajitokeze kugombea Mwenyekiti wa CUF ametoa wito Kwa Jesho la polisi waache kuwasumbua wapinzani na waache kukipendelea Chama cha CCM ametoa rai Kwa rais Magufuli kutekeleza Kwa vitendo maneno alio ongea hikuru jijini dar es salaam alipokutana na mabarozi mbambali ambako asema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa Uhuru na haki pia Chama cha CUF kimemtaka rais Magufuli kukutana na viongozi wa vyama vya Siasa Lengo la kukutana nikujadili na kuangalia njia bora ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Prof Ripumba amemtaka rais Magufuli kuviacha vyama vya Siasa kufanya mkutano yao ya ndani na nje
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment