Saturday, 29 February 2020

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AIPONGEZA TET

Naibu waziri wa elimu Gabrieli Olenasha ameipongeza taasisi ya elimu  Tanzania TET kwa kucha pisha vitabu Kwa Lugha ya Kingereza vya shule ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la tano Kwa shule za binausi na shule za serikali pia amesema wamechapisha vitabu vya wasioona Kwa nukta nundu kuanzia darasa la Kwanza mpaka la tano na Kwa kidato cha Kwanza mpaka cha nne pia Kwa kuchapisha vitabu vya maandishi makubwa Kwa watu wenye uono afifu . Nae Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya elimu Tanzania TET amewataka wamiriki wa shule watumie vitabu vyenye ithibati kwani wasipofanya ivyo atua Kali zitachukuliwa dhidi yao Dkt Aneth Komba Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya elimu Tanzania amehaidi vitabu vilivyozinduliwa vitasambazwa Tanzania bara na Visiwani


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment