Sunday, 1 March 2020

ANNAHL TRUST YAWACHOCHEA VIJANA WA KITANZANIA

Taasisi ya ANNAHL TRUST imeamua kutoa zawadi Kwa wanafunzi walizofanya vizuri kidato cha nne na kidato cha Sita kwenye mitihani ya Taifa Kwa zaidi ya miaka Kumi Lengo kuamasisha na kuwatia Moyo ili wafaulu vizuri amesema Aya Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya ANNAHL TRUST Hamza Jabir pia amesema uchochezi walizofanya imepelekea vijana wengi kufaulu kwa alana za juu kwenye masomo yao


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment