Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) James M. Kilaba amewataka wamiriki wa mitandao ya kijamii hususani wenye reseni za TCRA wajitokeza Kwa wingi kuchua fomu za tuzo za TEHAMA kwani Lengo la TCRA kutoa tuzo ni kuongeza ubunifu na kukuza uchumi katika Utangazaji ambako mwisho wa kutoa fomu ni tarehe 15 mwezi 3 na tarehe 16 ya mwezi wa 3 wananchi watapata fulusa ya kupiga Kula na ifikapo tarehe 15 ya mwezi wa 5 tuzo zitatolewa Kwa washiriki wote amesema haya alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi makao makuu ya TCRA jijini Dar es salaam
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment