Saturday, 14 March 2020

MKURUGENZI WA BINTI MAKINI AWAASA VIJANA

Janeti John Mkurugenzi wa taasi ya Binti Makini amewataka vijana waliopo vyuoni na wasiokuwa vyuoni kutumika mitandao ya kijamii katika kupinga maswala ya kijinsia na kuelimisha jamii kwani wakitumia vibaya mitandao ya kijamii itawaaribia Maisha Yao katika kupata kazi amesema haya kwenye kongamano la kuwajengea uwezo Mabinti katika maswala ya Uongozi na kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambako jumla ya Mabinti 400 kutoka kwenye vyuo 11 wameshiriki kwenye kongamano lililofanika kwenye viwanja vya NIT



Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment