Katibu wa Jukwaa la wahariri Tanzania ambae nae ni muhariri kutoka kampuni ya Mwananchi Comunication Ltd Nevil Meena awapongeza TCRA Kwa utendaji wao wa kazi na hukuakitoa Ombi la kuwepo Kwa waandishi ambao watakaobobea kwenye uhandishi wa maswala mazima ya mawasiliano
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment