Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA upande wa Vijana (BAVICHA) mwenye kadi namba 43860 Yuda Paulo Nguti amesema ameamuwa kutoka chama cha CHADEMA na kujiunga chama cha NCCR Mageuzi kwani CHADEMA Akuna uhuru wa kidemokrasia na haki ya kusikilizwa hii inatokana baada ya kukatwa jina lake wakati akiwania nafasi ya uwenyekiti BAVICHA hakupewa furusa ya kuojiwa wala kupewa sababu ya kukatwa kutokana na ivyo ameamuwa kuingia chama cha NCCR Mageuzi kwani ni chama makini hakina migogoro na kinasimamia demokrasia ya kweli
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment