Tuesday, 17 March 2020

NCCR MAGEUZI YAWATAHADHARISHA WATANZANIA DHIDI YA COVID-19(CORONA)

Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi na ni mtaalam wa Majanga amewatata watanzania kutekeleza kwa vitendo maagizo yanayotolewa na serikali katika kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 (CORONA) ametoa wito kwa serikali waweze kutoa taarifa mara kwa mara na wateja elimu kwenye Masoko na kwenye Mipaka James Francis Mbatia amewataka watanzania kuweka tofauti zao pembeni ivyo waungane katika kutokomeza janga hili la COVID-19 (CORONA) pia amewataka watanzania kuacha kuandika habari za uongo ametoa wito kwa serikali kuwatumia wataalam wa Majanga

Habari picha na Victoria  Stanslaus

No comments:

Post a Comment