Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Riliani Lihundi amesema kwakushirikiana na taasisi ya Binti Makini wataendelea kuwajengea uwezo Mabinti waliokuwa vyuoni katika kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ususani kipindi hichi cha uchaguzi mkuu Pia TGNP Mtandao wamefunguwa milango Kwa Mabinti watakao jitokeza kumbea nafasi za Udiwani,Ubunge na Urais wataendelea kuwajengea uwezo bule Mkurugenzi Riliani Lihundi ametoa rai kwa Mabinti wajiamini na wasikubali kukatishwa tamaa katika kuwania nafasi za uongozi uku akiwataka Mabinti watumie mitandao ya kijamii kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia Kwa kutoa taarifa Kwa Jeshi la Polisi
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment