Thursday, 19 March 2020

CORONA YAITAFUNA CHAMA CHA CUF

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF prof Hibraim Aluna Lipumba  amesema wameamua kusitisha ziara ambazo zolitakiwa wafanye kwenye mkoa wa Pwani,Lindi,Mtwara ,Ruvuma na mkoa mingineyo kwa upande wa Tanzania  visiwani CUF walitaka kufanya ziara Unguja na Pemba virus vya ugonjwa wa CORONA  ambavyo vinaongoza idadi kubwa ya vifo Duniani na sasa virus vya ugonjwa huu vipo nchini Tanzania na mpaka sasa watu6 wamegundulika kuwa na virus vya ugonjwa wa CORONA ndio maana chama cha wananchi CUF kimeamuwa kusitisha mikutano yake yote ya hadhara Lengo kuepusha maambukizi kwani ugonjwa huu uambukiza kwanjia ya hawa na kugusana Mwenyekiti ametoa wito kwa viongozi wa dini waendelee kuomba ugonjwa huu utoweke Tanzania

Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment