Mwenyekiti wa CUF prof lbrahim Aluna Lipumba amemtaka Msajili Franseci Mutungi atumie busala wakati wa ukaguzi wa vyama vya Siasa ili Kila Chama kipate furusa ya kushiriki uchaguzi mkuu2020 uku akihaidi kutoa ushirikiano Kwa Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment