Stera Ikupa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu inayoweza vijana,kazi Ajira na watu wenye ulemavu amewataka watanzania kuacha mala moja kuwanyanyapaa ,kuwabaguwa na kuwatenga watu wenye virusi vya Ukimwi (WAVIWI) pia ameipongeza Baraza la WAVIWI Kwa kutoa elimu ya kujikinga na maswala ya Ukimwi na kuamasisha watu kujitokeza Kwa wingi kupima virusi vya Ukimwi na kuwaimiza watu kutumika vidonge vya ARV na wamefanikiwa Kwa kiasi kikubwa kutoa elimu kwenye halmashauri 176 ametoa wito Kwa Baraza la WAVIWI kuwafikia watu wenye ulemavu amesema Aya kwenye kirere cha siku ya kupinga unyanyapaa na ubaguzi Kwa (WAVIWI) ambako uazimishwa Kila ifikapo tarehe 2 ya mwezi 3 Duniani kote
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment