Jemsi Mbatia Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi amewataka wale wote walio ama Chama cha NCCR Mageuzi waludi ndani ya Chama kwani mambo nimazuri pia Jemsi Mbatia amewakemea watu wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii na amewataka waache iyo Tabia mala moja Mwenyekiti amesema Chama chake kuanzia tarehe 4 ya mwezi wa tatu 2020 wanaanza Ziara Mbeya, Kigoma na Shinyanga
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment