Waziri wa mazingira Musa Asani Zungu amewataka wale wote wenye viwanda bubu ambako wanatengeneza mifuko feki ya mbadala waache mala moja kwani atuwa Kali zitachukuiwa dhidi Yao pia waziri amewataka wale wote wanaotumia mifuko ya vifungashio kwaajili ya kubebea vitu mbalimbali nao watakamatwa amesema Aya alipokutana na wadau wa mazingira na wanaotengeneza mifuko mbadala kwenye mkutano ulioandaliwa na Baraza la mazingira
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment