Tuesday, 25 February 2020

MBUNGE WA KINONDONI AWAPIGANIA WATU WENYE ULEMAVU

Maulidi Mturia Mbunge wa kinondoni ameitaka serikali kutenga ruzuku kwaajili ya kwaajili ya kuwawezesha watu wenye ulemavu hili waweze kujiajili amesema kwani watu wenye ulemavu ni kundi dogo  ivyo ni vyema kuliwezesha Kwa kiwango kikubwa ametoa wito Kwa serikali kuweza kupunguza masharti Kwa watu wenye ulemavu Kwa kiwango cha fedha cha asilimia2 kupunguza masharti uku akizitaka halmashauri ziweze kutoa elimu ya kutosha Kwa watu wenye ulemavu kuusu elimu ya fedha ya asilimia2 wanayopewa watu wenye ulemavu amesema Aya jijini Dar es salaam

Habari picha Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment