John Uranga Mkurugenzi mkuu mkazi wa TMEA (Trade Mark East Africa) amezindua mafunzo ya TWCC ya kidigitali ya kuwawezesha wanawake kufanya biashara za kuvuka mipaka mafunzo haya ya video ambayo yamedhaminiwa na Trade Mark East Africa yamelenga kutoa elimu juu ya Sheria na taratibu zinazowezesha kufanya biashara za kuvuka mipaka Pia TWCC imezindua mfumo wa kutoa taarifa ya unyanyasaji wa kijinsia Kwa kutuma SMS za kawaida Kwa maelezo zaidi Www.twcc.tz.org/gbcportal
No comments:
Post a Comment