Makamu mkuu wa chuo chaTIA upande wa taaluma,utafiti na ushauri dokta Kasambara Omore amesema wameamuwa kutoa semina Kwa wajasilia Mali wadogo wakiwemo mamarishe waendesha bodaboda na wengineo Lengo nikuwajengea uwezo katika kuendesha biashara zao amesema semina izi wataendelea kutoa kwenye mikoa mbalimbali pia ametoa mada juu ya mikopo Kwa wajasilia Mali . Nae mratibu wa semina hii Asenari amesema huu mpango utakuwa endelevu na amewataka watanzania kuwaunga mkono Kwa kuudhuria semina za TIA ametoa wito Kwa watanzania kujiunga na kuwapeleka watoto wao chuo cha TIA Kwa ngazi ya Cheti diploma na elimu ya juu
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment