Wednesday, 12 February 2020

CHUO CHA N.I.T YATEKELEZA KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI

Chuo cha NIT kinatoa mafunzo ambayo yatawawezesha wanafunzi waweze kuajiliwa na kujiajili kwenye sekta ya usafirishaji na Uchukuzi Lengo ni kumuunga mkono rais Magufuli katika kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati mwaka 2020 mpaka 2025 Aya amesema Prof Bavo Nyichomba  baada ya kutembelewa na viongozi wa Baraza la chuo cha NIT  ameongezea Kwa kuwatoa ofu watanzania Sela  zilizopo Kwa sasa za chuo cha usafirishaji na Uchukuzi (NIT) zinaendana na Sela za dira ya Tanzania katika kukuza uchumi wa nchi Kwa kuwaandaa wahandisi wa Reli na sekta ya anga amewaasa wanafunzi wa chuo cha NIT waweze kufanya kazi Kwa vitendo pindi wanapoajiliwa au kujiajili


Habari picha na Victoria Stanslaus



No comments:

Post a Comment