Friday, 19 November 2021

DR KITINYA AELEZA NJIA ZA KUNUSURU VIFO VYA MAMAWAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA


 Dr Kitinya Mshauri na Mratibu amesema hili Kunusuru Vifo vya Mamawajawazito na Watoto Wachanga ni vyema serikali pamoja na wadau kuweka rasilimali Fedha za kutosha kwaajili ya kutoa elimu kabla ya kujifungua na Baada ya kujifungua, kuwepo na miundombinu Bora na rafiki,Vitendea kazi na rasilimali watu wa kutosha .

Ambako Kauli Mbiu ya Mkutano Huu Inasema Kuongeza Kasi ya Kupunguza Vifo Vitokanavyo na Uzazi, Watoto Wachanga, Watoto Chini ya Miaka Mitano na Vijana.

Habari picha na Ally Thabiti

DR NA MUHADHIRI MKUU WA CHUO KIKUU CHA TIBA NA SAYANSI MUHIMBILI NAHYA SALIM AGUSWA NA MAMBO YA WATU WENYE ULEMAVU


 Dr Nahya na Muhadhiri Mkuu wa Chuo Kikuu cha TIBA na SAYANSI MUHIMBILI amesema Swala la Afya ya Uzazi katika kuwafikia watu wenye Ulemavu ni Jambo muhimu kupitia mkutano Huu serikali imelibeba maswala ya mwandishi ya nukta nundu kwaajili ya wasio Ona na matumizi ya Lugha za Alama Kwa watu wenye Uziwi.

Nahya Salm amesema katika kupunguza Vifo vya mama wajawazito na Watoto wanga ni Jambo zuri .Kauli Mbiu ya Mkutano Huu Inasema" Kuongeza Kasi ya Kupunguza Vifo Vitokanavyo na Uzazi, Watoto Wachanga, Watoto Chini ya Miaka Mitano na Vijana"

Habari picha na Ally Thabiti

Thursday, 18 November 2021

DORIS MOLLEL FOUNDATION ATOA ZAWADI KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA


 Taasisi ya DORIS MOLLEL FOUNDATION imempongeza Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Kwa juhudi na jitihada anazofanya Kwa kunusulu vifo ya mamawajawazito na watoto wachanga.

DORIS MOLLEL FOUNDATION imeweka Mipango kabambe kwaajili ya kutoa elimu ya afya  uzazi ,pia maswala ya watoto njiti NI miongoni mwa maeneo wanayafanyia kazi.

Habari picha na Ally Thabiti

WHO KUNUSURU VIFO VYA MAMAWAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA


 Mwakirishi Mkaazi wa WHO amesema Watasaidia na kuwezesha serikali ya tanzania Fedha kwaajili ya kunusuru vifo vya mamawajawazito na Watoto wachanga.

HAbari picha na Ally Thabiti

WIZARA YA AFYA KUWAFIKIA WATU WENYE ULEMAVU


 Dokta Bundala wa Wizara ya Afya Amesema Katika afya ya uzazi watawafikia watu wenye Ulemavu Kwa kuwapa elimu rafiki kwao.

Habari picha picha na Ally Thabiti

Wednesday, 17 November 2021

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATETA NA REPOA


 Prof Kitila Mkumbo Waziri wa Viwanda na Biashara Ameipongeza Repoa  Kwa tafiti zao kwani zimeweza kutatuwa Changamoto za wafanya biashara ndani ya Miaka Yao 25, pia ameitaka Repoa iongeze Kasi na bidii kwenye tafiti zao.

Habari picha na Ally Thabiti

REPOA YAZIDI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TANZANIA

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Repoa Dr Donald Mmari amesema Repoa itaendelea kufanya tafiti lenge kutatuwa Changamoto inayowakabili jamii ya kitanzania.
Kwani itasaidia KUCHOCHEA MAENDELEO katika Sekta mbalimbali.

Habari picha na Ally Thabiti