Dr Nahya na Muhadhiri Mkuu wa Chuo Kikuu cha TIBA na SAYANSI MUHIMBILI amesema Swala la Afya ya Uzazi katika kuwafikia watu wenye Ulemavu ni Jambo muhimu kupitia mkutano Huu serikali imelibeba maswala ya mwandishi ya nukta nundu kwaajili ya wasio Ona na matumizi ya Lugha za Alama Kwa watu wenye Uziwi.
Nahya Salm amesema katika kupunguza Vifo vya mama wajawazito na Watoto wanga ni Jambo zuri .Kauli Mbiu ya Mkutano Huu Inasema" Kuongeza Kasi ya Kupunguza Vifo Vitokanavyo na Uzazi, Watoto Wachanga, Watoto Chini ya Miaka Mitano na Vijana"
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment