Wednesday, 24 November 2021

CHAMA CHA SIASA CHAAIDI MAZITO KWA TGNP


 Kiongozi wa Chama cha Siasa amesema Mafunzo waliopata TGNP yeye atayatumia katika kuleta mabadiliko katika  Vyama vingine vya Siasa , Lengo kuondoa mfumo dume kwenye nafasi za Uongozi. 

 Kwani semina hii itafanya wanawake kujiamini katika kugombea nafasi za wenyeviti ndani ya Vyama vya siasa na wanawake kuondokana na dhana potofu ya kungoja nafasi za Citi maalum upande wa Udiwani na Ubunge.  

Na atimae wanawake watakwenda kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge katika kata na majimbo na ngazi ya Urasi,amewataka TGNP na ULINGO kutovunjika Moto Kwa Mafunzo wanayotoa.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment