Dokta Magoma wa Gender Health Amesema Wamevifikia Vituo vya Afya 545 Kwa kuwapa elimu ya Uzazi salama ambako watoa huduma watapewa elimu ya namna ya kuwahudumiwa watu wenye Ulemavu wa aina zote.
Pia wamefikiwa watu milioni moja na lakinane kwenye Mikoa kumi ikiwemo Dodoma,Pwani,Tanga,Arusha,Kilimanjaro,Mwanza Dsm na Mikoa yote ya Zanzibar.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment