Emmanuel Bujiku Mratibu wa Baraza la Wafamasia (TAPHATA) amesema baada ya mkutano huu kumalizika mabadiliko makubwa yatajitokeza katika Uuzaji na Usambazaji wa Dawa na Vifaa Tiba .
Lengo la mkutano wa TAPHATA no kujadili na kutatuwa Changamoto zilizopo Kwa Wafamasia na kupanua wigompanakwa kupata Masoko ..pia Amewapongeza na kuwashukuru wanachama wa TAPHATA Kwa kujitokeza Kwa wingi kwenye mkutano na kuinua changamoto zilizopo kwenye maeneo yao ya kazi.
MRATIBU Emmanuel Bujiku ameahidi kuyafanyia Mapendekezo yote. Na Yale ambayo yapo upande wa serikali atayawasilisha serikalini amewàshukuru na kuwaongezea wazamini wao wote Kwa michango Yao na ushirikiano waomkubwa wakutosha.
WakiwemoCRDB BANK na wengine
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment