Dr Kitinya Mshauri na Mratibu amesema hili Kunusuru Vifo vya Mamawajawazito na Watoto Wachanga ni vyema serikali pamoja na wadau kuweka rasilimali Fedha za kutosha kwaajili ya kutoa elimu kabla ya kujifungua na Baada ya kujifungua, kuwepo na miundombinu Bora na rafiki,Vitendea kazi na rasilimali watu wa kutosha .
Ambako Kauli Mbiu ya Mkutano Huu Inasema Kuongeza Kasi ya Kupunguza Vifo Vitokanavyo na Uzazi, Watoto Wachanga, Watoto Chini ya Miaka Mitano na Vijana.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment