Wednesday, 24 November 2021

TGNP YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA


 Mkurugenzi Mtendaji  wa TGNP MTANDAO Liliani Liundi amesema Lengo la kukutana na Viongozi wanawake wa Vyama vya siasa kuwajengea uwezo katika kubeba Ajenda za wanawake na namna ya kufikia asilia 50 Kwa 50 katika ngazi za maamuzi.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment