Dr Leonora Asseri Dds-Dar Implantology -Netherlands Kutoka SHALOM DENTAL SURGERY. amesema mkutano huu utasaidia Kwa kiasi kikubwa kuondoa matatizo ya Kinywa na Meno Amewapongeza wasichana waliofanya vizuri kwenye masomo yao katika maswala ya TIBA ya Meno na Kinywa. Sakina, Dr Luciana Albert na Chirstna.
Ivyo amewataka Wazazi na Walezi kuhachana na Mira na desturi potofu na kandamizi dhidi ya watoto wa kike Kwa kuamini kuwa wamezaliwa kwaajili ya kuolewa Tu ,ambako dhana hizi sio za kweli kwani wanawake wanauwezo mkubwa wa kufanya kazi na Uongozi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment