Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Lulu Mwanakilala amesema katika Miaka kumi wameweza kifikia jamii Kwa kiasi kikubwa Kwa kutoa elimu ya masada wa kisheria,pia wamewajengea uwezo wasaidizi WA kisheria kuanzia ngazi ya Chino mpaka kitaifa kwenye Mikoa ya Tanga,Pwani,Kigoma,Mwanza,Arusha,Shiynga,Ruvuma,Lindi,Mtwara, Dsm,Dodoma,Mbeya, Zanzibar na Mikoa mingineyo.
Lulu Mwanakilala amekishukuru serikali Kwa kuwaunga mkono Kwa kazi zao ,Danida,Ubarozi wa Swiden,ubarozi wa Canada,UK na wadau wengine I.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment