Joyce Kutoka TGNP MTANDAO Amewataka Wanaharakati kuweka nguvu za pamoja ili kutokomeza Mimba za utotoni,Ndoa za utotoni na Utoaji wa mimba Kwa watoto wa kike na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Pia Joyce wa TGNP MTANDAO ameitaka serikali ya Tanzania kutekeleza makubaliano waliyosaini SADC mwaka 2008 namna ya kutokomeza na kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia .
Kwani katika makubaliano hayo tanzania imekuwa nchi ya mwisho katika utekelezaji.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment