Mtuli Mkurugenzi wa TAMISEMI Kwenye Sekta ya Afya Amesema Maazimio waliotoka nayo kwenye mkutano wa Wadau wa Afya ni kutoa huduma bila upendeleo,usambazaji wa madawa na vifaa kwenye mahospitalini, Kujenga miundombinu kwenye hispitali,zahanati na Vituo vya Afya.
Kuongezea Ujuzi na Uwezo Wataalam wa Afya na kuwafikia watu wenye Ulemavu wa Aina zote.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment