Tuesday, 16 November 2021

MTANGAZAJI WA CLOUDS HADAM MCHOMVU AJITABILIA KUFIKIA ANGA ZA KIMATAIFA


 Mtangazaji wa Clouds Pia Mwimbaji wa Mziki wa Kizazi Kipya Hadam Mchomvu amesema anaamini anafanya vizuri na anakubalika na kuaminika wenye mziki wa Kizazi Kipya amefika mbali na anaamini atafika mbali kwenye mziki wake.

Licha ya changamoto anazokutana nazo katika kuwa Mtangazaji na Mwimbaji lakini anafanya vizuri amewataka watu kufuatilia Instagram yake @hadammchomvu na You tube hadammvomvu.

Anapokuwa kwenye kuitangaza anaepuka mgongano wa kimaslai kupiga nyimbo zake na Hadam Mchomvu kabla ya kuwa Mtangazaji alikuwa akiwa katika Uimbaji wa mziki. Ametoa wito Kwa watanzania wajitume katika kazi zao za mziki.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment