Margaret Mngumi Msajili wa Malalamiko Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima ,,amesema Kwa mwaka huu wametatuwa Migogoro ya Bima 150 Sawa na mwaka Jana .
Amewataka Wananachi wakiwa na Malalamiko ya Bima waende kwenye Ofisi zao zilizopo Mbeya,Mwanza,Dodoma ,Dsm na Mikoa mingineyo.
Kwamawasiliano zaidi +2552221111117 Nukushi +25522211094 Kwa barua Pepe Ombudsman@tio.go.tz Tovuti Www.tio.og.tz.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment