Meneja wa Talura Mkoa wa Dsm Bwana Mkinga amesema wamepokea maelekezo ya maboresho ya mfumo wa Ukusanyaji wa tozo za uegeahaji wa magari Kwa njia ya mtandao yaliotolewa na Waziri wa Tamisemi Humi Mwalimu watayafanyia kazina kutekeleza Kwa vitendo.
Ikiwemo kutoa elimu ,matumizi ya Lugha nzuri na mengineyo. Pia amesema watu wenye Ulemavu watashirokishwa Kwa kiasi kikubwa .Mkinga ametoa wito Kwa waegesha magari Kwa Dsm kutoa ushirikiano wakati WA utoaji elimu na Baada ya mfumo kurejeshwa tarehe 1/12/2021.
Lengo ni kudhibiti upoteaji wa mapato ya Maegeaho ya magari.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment