Tuesday, 23 November 2021

MWANA HABARI WA CHANEL TEN AIPONGENZA TARURA


 Albert Kilalah Mwanahabari wa Chanel Ten amesema Tarura kuweka Ulipaji wa Tozo Kidigitali utasaidia kuokoa fedha za serikali ambazo zitasaidia kununuwa madawa,ujenzi wa hospitali,zahanati na Vituo vya Afya.

Ivyo amewataka watu kuutumia mfumo huu.
Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment