Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu amesema Fedha walizopata za UVIKO 19 watatumia katika ujenzi wa madarasa,mabweni na miundombinu kwenye shule mbalimbali . Pia watanunua vifaa vya kuifunzia na kusomea watu wenye Ulemavu mbalimbali.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment